Thursday, 11 February 2010

SAUTI ZA BUSARA BI KIDUDE KUMWAGA RAZI

Na Haji Nasoor Zanzibar.
SAUTI za busara Zanzibar kama wengi wanavyolitaja kama Jukwaa la wasanii ,linalowakutanisha wanamuziki toka Afrika na kutoa nafasi kupeleka muziki wao Duniani, linatarajiwa kunguruma Zanzibar hivi karibuni.

Wanamuziki kadhaa kutoka Afrika watawasha moto wao, kwenye dimba la Stone town, Zanzibar ili kutoa fursa kwa wazanzibar kujiona wasanii toka Afrika , wanavyojikitwa wakiwa jukwaani

Miongoni mwa wasanii ni pamoja na Jhikoman, Banana na B-Band, Best of Wapi, Juliana Kanyomozi na wengine kibao na hata kutoka Zanziba akiqwemo bibi asiechoka kwenye usanii mtu mzima Bi Kidude.

the end


No comments:

Post a Comment